WATUMISHI WA TANESCO MBARONI KWA UHUJUMU UCHUMI

Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imewafikisha mahakamani watumishi watano wa shirika la umemeTanesco mkoani hapa kwa makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kwa kusababisha upotevu wa fedha sh, milioni 387.1 Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake Mkuu wa Takukuru Mkoani hapa James Ruge amewataja Watuhumiwa hao kuwa ni Maria